top of page

ZUCHU AANDIKA HISTORIAMPYA AFRIKA MASHARIKI

Msanii wa Bongo Fleva Zuchu kutokea WCB ameandika historia mpya ya kuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kufikisha watazamaji Milioni 100 kwa video moja akiwa kaimba Solo (Yeye peke yake bila kushirikisha msanii mwingine) kupitia video ya wimbo wake wa Sukari ambapo amefunguka haya kwenye ukurasa wake wa Instagram

"HISTORIA MPYA IMEANDIKWA LEO. Viewers Milioni 100,000,000 Za Sukari zinanifanya Kua msanii Wa Kwanza kutoka East Africa Kufika Mafanikio Haya Kwenye Wimbo wa peke yangu.




#Sukari was and still is A masterpiece. Wimbo ulionibadilishia Maisha Kwa kiasi Kikubwa na leo umeandika Historia Kubwa kwenye Tasnia Ya muziki Afrika Mashariki

3 Years Ago we released a banger !! #SUKARI

Today i become the First Solo artist in East Africa to ever Reach this milestone 100+ viewers on Youtube. TO MY FAN MILLY THANK YOU SO MUCH HAYA NI MAFANIKIO YETU WOTE TULIOWEZESHA UKUBWA WA HII PROJECT I APPRECIATE YOU

@iam_trone Hongera sana Kwa kua Mtayarishaji wa wimbo wenye historia kubwa Kwenye Tasnia. Huu mwaka bado hatujauanza.Naamini ndani yako na kuna makubwa mengi watayashuhudia kupita collaboration zetu." Zuchu.

Commenti


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page