Tuseme ndio Couple mpya mjini? Mmmh wacha tusubiri lakini wakati tunasubiri tujiulize kwanini
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_971664caf3854947b84be9add8c559e7~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_971664caf3854947b84be9add8c559e7~mv2.jpg)
Zuchu amuite Yammi Wifi kwenye post ya Mbosso.
Huenda likawa ni penzi jipya mjini kwani Mbosso amepakia kipande cha video akiwa kwenye mkao wa mahaba na Yammi wakiimba wimbo wa Ni Busu ambayo huenda ni Remix ambayo Barnaba kaamua amuweke Mbosso.
Sasa kwenye post hiyo ya video hiyo ya mahaba Mbosso amemuita Zuchu wifi jambo lililoacha maswali mengi juu ya nini kinaendelea kati yao.
Tangaza nasi biashara yako uwafikie wateja wengi tucheki WhatsApp kwa kubofya namba hii
Comments