Na Godson Mbilinyi
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4287f7e4051c46359ba51e69e06c40d3~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_4287f7e4051c46359ba51e69e06c40d3~mv2.jpeg)
Baada ya ukurasa mmoja mtandaoni kuibuka na kuuliza mjadala huu "Kwa nini Zuchu ni mwandishi mzuri kuliko Lady Jaydee?"
Hatimaye Zuchu ameibuka na kutoa ya Moyoni juu ya kauli hiyo
"HUU NI MJADALA USIO NA MASHIKO NA
WAKIJINGA KUWAHI KUTOKEA LADY JAYDEE NI MOJA KATI YA ROLE MODELS WANGU NAMPA HESHIMA KUBWA SANA SABABU YEYE NI MOJA KATI MIFANO BORA SANA TULIYONAYO KWENYE TASNIA ESPECIALLY MABINTI, KUNISHINDANISHA MIMI NA DADA ZANGU WALIOTENGENEZA NJIA KAMA DADA KOMANDO NI KUIVUNJIA HESHIMA TASNIA, NAKOMESHA MIJADALA HII MARA MOJA."
Commentaires