Usiku wa kuamkia alhamisi ya leo kwenye kipindi cha Lavidavi chake @divatheebawse ndani ya Wasafi FM msanii wa WCB @officialzuchu Ameahidi Kumnunulia Gari Msanii @anjella_tz hii leo.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_7c3634e5afec4596800b9f5d5ded5bf8~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_7c3634e5afec4596800b9f5d5ded5bf8~mv2.jpg)
Akizungumza na @divatheebawse Kupitia #Lavidavi ya @wasafifm, Zuchu Ametoa Ahadi na Kusema Kesho (22/ 08/2024) Atamnunulia Anjella Gari Aina ya Crown Kwani Anjella ni Kama Dada Yake na Hakuna Anayeijua Kesho Huenda Siku Moja Naye Atamsaidia.
Yote haya ni baada ya Anjella kuchelewa kwenye kipindi cha Lavidavi kwa ajili ya interview kutokana na changamoto za usafiri.
Comments