top of page

ZUCHU NA WAKAZI HAPATOSHI WAZIDI KUTUPIANA VIJEMBE

Kwa kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumlinganisha Mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuhura Soud @officialzuchu na Jide @jidejaydee kimezua marumbano kati yake na rappa @wakazi ambapo kupitia mtandao wa Thread Rapa huyu amejaribu kufafanua ulinganisho huo. Kwa upande wake msanii @officialzuchu ameoekana kutofurahishwa na maelezo hayo na kumjibu rapa huyo ambapo Zuchu kaandika


"Nimeona nije kukuandikia hapa mara nyingi nimekutana na wewe all i showed was pure respect.Huwa nakutazama kwa jicho la ukaka kwenye tasnia japo ukinambia Nitaje wimbo wako hata mmoja siujui. Mijaladala inayozuka mitandaoni has nothing to do with me.kwa nilipo sina haja ya kumvunjia heshima mtu yoyote nadhani Unaona tu bila ya ulazima wa kulazimisha kua hater Wewe kujifanya mimi nilitakiwa Kukemea nilipoona tu niliona lini unajua ? Na je Huyo kijana alieanika hivo ni nani? Kaka mimi sishindi mitandaoni ili kujibu kila mjadala utokeao kama wewe.Nina shows nina album on the way nina familia i am busy with the business that pays me.unlike you Kakaake na Google ujuaji mwingi ila yako Hatuyajui mana hata kwenye mijadala haupo.Tafadhali mikurupuko ya kutafuta kiki kwa Career za watu ndo kitu ulichochavua Kufanya kutetea hoja ya Mtu mwengine kusikufanye ukataka kudhihaki watu wasio na hatia."


Sasa Wakazi nae karudi tena na kuwasha moto

ambapo ameandika ,"ONA HAKA KA BICHWA MAJI. ZUCHU!! Yaani watu walete mjadala, wakuseme vibaya, alafu hasira zako unitolee mimi. smh



Mjadala una wiki nzima, na watu wakasema hujui kuandika. Nikaingia kukutetea (kutumia "Sukari") na kisha nikaongea kimuktadha why hampaswi kushindanishwa, na kusema sio kosa lako ila wewe ukitoa tamko tu mjadala utakufa. UMETOA TAMKO mjadala umekufa, ila unataka kunigeuza mimi mjadala naona.


Hamna mtu aliyedhihaki career yako, na hakuna kitu cha uongo ambacho mi nimeandika... unless uhalisia wako ni kitu ambacho kinakusumbua. Hatuwezi kuacha kuanzisha mijadala kisa fulani amedaka hisia, ilimradi lengo letu ni kujenga si kubomoa. Tunasifia na kukosoa inapohitajika. Ila ukweli tunausema pia kama ulivyo.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page